Ni mtanzania yupi maarufu zaidi?

Tanzania hakuna super star zaidi ya Mzee Majuto! Kwasababu ndo anakubalika na kila mtu. Hao wakina Diamond sisi ambao sio washabiki wa ccm hatuwatambui
 
Mimi
 
Aliye leta huu uzi labda ange specify kama alivyojijibu mwenyewe! Labda angeuliza msanii yupi maarufu tanzania
 

inategemea na.industry ipi.unayoongelea kama ni.muziki.inawezekana

mfano kila mtu anafatilia interest yake.kwa uchumi Mo Dewj anajulikana
kwa mitindo kina millen Magese na Flavian
kwa siasa Jk atakua anajulikana.

kwahiyo akuna kipimo general cha mtu kufahamika nje au ndani ya nchi.
 
Mwl Nyerere hakuna wa kumfikia..... akifuatiwa kwa mbaaaali na mzee wa anga aka prof Dr Economist Luteni.
 
Aliye beba Hela za Escrow kwenye sandarusu bila kutajwa Na yeyote Huyo ndie MTU maarufu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…