Mohammed fadhil
Member
- Jul 24, 2012
- 9
- 0
Tunajua kuwa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2012 ni mabovu mno na serikali imeamua kuchukua uamuzi wanafunz wote walio fail warudie mtihan, Program hii itakuwa inaendelea kila mwaka au ndio mwaka huu tu ? na katika suala zima la usahishaji mi nafikiri serikal kama serikal inapanga matokeo ya wanafunzi kuingia kidato cha tano, wakishafikisha kiwango chao ndo wengine unapewa matokeo yako kwa kukufikiria, si kwel kwamba kila anaefail hana akli ila wengine wanagewa matokeo kwa kufkiriwa hususan kwa S-KATA