Ni mtazamo tu

Ni mtazamo tu

Joined
Jul 24, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Tunajua kuwa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2012 ni mabovu mno na serikali imeamua kuchukua uamuzi wanafunz wote walio fail warudie mtihan, Program hii itakuwa inaendelea kila mwaka au ndio mwaka huu tu ? na katika suala zima la usahishaji mi nafikiri serikal kama serikal inapanga matokeo ya wanafunzi kuingia kidato cha tano, wakishafikisha kiwango chao ndo wengine unapewa matokeo yako kwa kukufikiria, si kwel kwamba kila anaefail hana akli ila wengine wanagewa matokeo kwa kufkiriwa hususan kwa S-KATA
 
Ila kama mtu una uhakina na unajiamin ulichokifanya unaweza kwenda baraza la mtihan na kuomba usahishiwe tena upya ndipo utaona kuwa matokeo haya huwa yanapangwa na kwa shule zetu hz za kata ndo usiseme zinakuwa za mwisho kabisa walimu wachache hususan walimu wa sayans nakumbuka nilifanya mtihan wa mwisho mwaka 2011 na ndo mara yangu ya kwanza kushka vfaa vya LABATORY kama practise baadhi ya practical na ndo mtihan huo unategemea mm nitafanya vzur kama unavyozania ? serikal nayo zizijal na shule za kata
 
Back
Top Bottom