Ni mtego au?

Ni mtego au?

Pesa inanguvu sana askwambie mtu ukiwa na hela hata mwanamke akukamate na kosa kubwa kiasi gani ataishia kulalamika tu nakosa litaonekana dogo utasamehewa na maisha yatakwenda, ukikamatwa unacheat kesho utaambiwa usirudie tena, ukiwa na hela hata ukitaka papuchi 24hrs utapewa tena bila kipingamizi chochote
NOTE: KWAIYO KIJANA ZINGATIA MAOKOTO KUPEWA PAPUCHI SIO MBAKA UOE
 
Panadol inapunguza maumivu ya njaa [emoji23]

Nikiwa chuo maisha ya pasi ndefu kuna siku nikasema liwalo na liwe na njaa zangu, baada ya hapo kila kitu kililegea, njaa haina mbabe.
Niliwahi kufyonza colgate usiku wa manane na asprin 3 bila maji ndio kwa mbaali nikamsikia mwana anajaribu kufufuka.. Maana alikuwa kalegea mlenda umesingiziwa..[emoji23]
Ukisikia adui mwombee njaa....!!! Njaa haina mtemi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kufyonza colgate usiku wa manane na asprin 3 bila maji ndio kwa mbaali nikamsikia mwana anajaribu kufufuka.. Maana alikuwa kalegea mlenda umesingiziwa..[emoji23]
Ukisikia adui mwombee njaa....!!! Njaa haina mtemi

Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa ni hatari sana hasa ukiwa huna kitu mfukoni, nilichojifunza ukiwa na njaa acha tu utelezi ukupite unaeza kukata moto kizembe sana.
 
Demu wangu ni mlokole Jana
Amenambia hatuwezi ku-sex tena hadi tutakapofunga ndoa.

Na ukumbuke mwanzo tuki nyanduana fresh tu.

Nikirelate na hardlife nalopitia now, misoto Mimi sina hela kabsa, nafight job sijapata

Nahisi kama huu ni mtego duhh..

Embu nishaurini
Ingiza Ant virus mpya

New virus detected Dee
 
watakuambia mwanaume kujiamini
Daah..mkuu bila hela nikujidanganya tu nakumbuka mwanzo wa mwaka huu nlipigika sana nawaza kodi halafu nipo kwenye kikazi cha kishenz japo ofisi ni kali ila maokoto ya kipuuzi bac kuna madem wakawa wanajiongelesha hivi huyu kaka ni bikra mbona hana shobo na madem halafu ni mpole sema hawa wa hivi unakuta ni mafundi halafu wamebeba mitarimbo ya maana sana nyie waoneni hivo hivo, yani niligeuka nikawaangalia mara moja tu nikaendelea na kazi zangu japo niwazuri ila niliona kama wananipigia kelele tu niliondoka hapo nikiwa naitwa mkaka bikra
 
Daah..mkuu bila hela nikujidanganya tu nakumbuka mwanzo wa mwaka huu nlipigika sana nawaza kodi halafu nipo kwenye kikazi cha kishenz japo ofisi ni kali ila maokoto ya kipuuzi bac kuna madem wakawa wanajiongelesha hivi huyu kaka ni bikra mbona hana shobo na madem halafu ni mpole sema hawa wa hivi unakuta ni mafundi halafu wamebeba mitarimbo ya maana sana nyie waoneni hivo hivo, yani niligeuka nikawaangalia mara moja tu nikaendelea na kazi zangu japo niwazuri ila niliona kama wananipigia kelele tu
Ukiwapa attention ndio unazidi kuifanya hali yako kuwa mbaya kabisa, kujiamini ni sahihi ila kama huna hela ni bure utaishia kujidhalilisha tu.

Kuna muda ni bora uonekane nyuki wa mashineni huna madhara ila mambo yako yaende kuliko kutaka kuonesha uwezo alafu ukazidi kudidimia kiuchumi.

Wanawake wana gharama, ukijihusisha nao hasa kimapenzi ni lazima ukubali kugharamika.
 
Epuka sana kumtia dhambi mtu aliyeamua kumtumikia Mungu, itakuathiri siku za usoni.
Jiunge kwenye huo ulokole kisha muoane kwenye harusi takatifu.
 
Unataka kunyanduana na hela huna,uko serious kweli!
 
Back
Top Bottom