Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Guys mniwie radhi kama ntawaboa,lakini nimeona nijue hili.kwani hakunaga dogi fj!!.Tumeona hapa mbongo kuna watu hata ukiskia saut yake tu,au kuona picha yake unamtambua hata kama hukuwahi kumuona live!.
Hapa bongo unadhan ni mtoto gani mdogo anaefahamika sana hata ukiiona tu picha yake unamtambua kuwa huyu ni fuln ama mtoto wa fuln.asiwe zaid ya miaka miwili.
Hapa bongo unadhan ni mtoto gani mdogo anaefahamika sana hata ukiiona tu picha yake unamtambua kuwa huyu ni fuln ama mtoto wa fuln.asiwe zaid ya miaka miwili.