Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Hii doria ni shida. Kuwa free na wala usijaribu kufanya uovu kwa namna yeyote ile.[emoji23] doria ya kushtukiza...
Sifanyi uovu bae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii doria ni shida. Kuwa free na wala usijaribu kufanya uovu kwa namna yeyote ile.[emoji23] doria ya kushtukiza...
Sifanyi uovu bae
Sawa loveHii doria ni shida. Kuwa free na wala usijaribu kufanya uovu kwa namna yeyote ile.
Ritz a.k.a Rizwani![]()
Guys mniwie radhi kama ntawaboa,lakini nimeona nijue hili.kwani hakunaga dogi fj!!.Tumeona hapa mbongo kuna watu hata ukiskia saut yake tu,au kuona picha yake unamtambua hata kama hukuwahi kumuona live!.
Hapa bongo unadhan ni mtoto gani mdogo anaefahamika sana hata ukiiona tu picha yake unamtambua kuwa huyu ni fuln ama mtoto wa fuln.asiwe zaid ya miaka miwili.
Mtoto wa diamondndo nani huyu.?
Na Baba nimarehemuAngekuwa wa Wema ila mimba iliharibika 'ghafla'.