Ni muathirika wa masturbation

Ni muathirika wa masturbation

sonofdory

Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
78
Reaction score
38
Nmekua nkifanya masturbation tangu 2012. Sasa hivi umme wangu umekua dhaifu sana siwezi hata kupiga mchezo wa dakika 5.. Nahitaji msaada wakuu.. kuna dawa gani naweza tumia??
 
Kunywa maji mengi kiasi cha 1 Lita asubuhi ya uvuguvugu.na weka Asali kidogo tu. Ndani ya wiki rudisha habari hapa
 
Nmekua nkifanya masturbation tangu 2012. Sasa hivi umme wangu umekua dhaifu sana siwezi hata kupiga mchezo wa dakika 5.. Nahitaji msaada wakuu.. kuna dawa gani naweza tumia??
Pole sana kijana, una umri gani?
 
Hongera sana kaka,Punyeto ni faida sana ila watu hawajui tu. Punyeto hupati maradhi, Punyeto unakula demy yeyote umtakaye kwenye mawazo tu. Punyeto huongi,punyeto unafanya wakati wowote na popote. Komaa mwana piga pinyeto hata mara tatu kwa siku.
 
Acha bro kufanya masterbation. Kunywa supu za samaki mara kwa mara, zingatia pia na ushauri uliopewa hapo juu na kisaikologia pia utulie then hiyo hali itaisha.
 
Hongera sana kaka,Punyeto ni faida sana ila watu hawajui tu. Punyeto hupati maradhi, Punyeto unakula demy yeyote umtakaye kwenye mawazo tu. Punyeto huongi,punyeto unafanya wakati wowote na popote. Komaa mwana piga pinyeto hata mara tatu kwa siku.
[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
 
Hongera sana kaka,Punyeto ni faida sana ila watu hawajui tu. Punyeto hupati maradhi, Punyeto unakula demy yeyote umtakaye kwenye mawazo tu. Punyeto huongi,punyeto unafanya wakati wowote na popote. Komaa mwana piga pinyeto hata mara tatu kwa siku.
Wapga pool bwana
 
Back
Top Bottom