Ni muda gani mwanaume unatakiwa kumaliza kupanda mlima?

Ni muda gani mwanaume unatakiwa kumaliza kupanda mlima?

AZIMIO

Senior Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
188
Reaction score
52
Naomba kuwakilisha swali langu kwenu ili nipate ufafanuzi,
Hivi ni muda upi mwanaume unatakiwa uwe umaliza kupanda mlima,kwa kuwa kuna msemo usemao ukimaliza kabla y dk fulani wewe si mzima?
je kuna ukweli wowote kuhusu hilo?
 
Dak 45 zinatosha chini ya hapo ujue una matatizo (hizo si kwa wale wanaotumia viagra). NAWASILISHA
 
cha msingu usingi usiwe na premajure ejaculation, na uwe na uwezo wa kuendelea baada ya kilele, ila la kuangalia zaidi je mwenzio nae amefika mahala pake au unajiangalia wewe, ujuwe tunafanya yote ili wenzetu wajisikia raha sana na wafike sehemu ya kuwafanya waridhike na wafurahi kwa kuwa nae safiri ya kilima cha mwisho kwenye kilele
 
Kwa kilimanjaro ni siku tatu kupanda .kushuka siku mbili jumla siku tano
 
Inategemea na kiburudisho chenyewe.
Kama ni kitamu sana hata dakika mbili hufiki.
 
asubuhi na mapema, baada ya jogoo kuwikaa.,.!!
kwi kwi kwii.,
 
Khaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! nimepotea?????????? nishawezeshwaa kuingia kwa wakubwaaaaaaaaaaaa... mmmmmmmmh!
 
Waulize wanaume Wangoni Kwani ni wataalamu Wa milima kuliko hela.
 
Khaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! nimepotea?????????? nishawezeshwaa kuingia kwa wakubwaaaaaaaaaaaa... mmmmmmmmh!

wakongwe walishatuambia tusidangaywe na avatar,
haya romance kama ndo wewe huyo basi hongera zako bibie..................................

mmmh!na hii signature yako, sijui ndo ubinafsi huo.............lol..
eti..............I love me and me only
 
mijianaume mirafi utaijua tu...km nakuona vile unataka kupigana na signature cz imekuzibia?
miss u!!!!!!
 
Unauliza swali la ubinafsi sana. Kwanini uulize "mwanaume" peke yake? Kwani anapanda mlima peke yake? Ni ubinafsi kutokutilia maanani kwamba mwenzio naye anahitaji kufika Mawenzi.

Jibu: Mwanaume anatakiwa kufika kileleni wakati mwenzie naye yuko tayari kufika huko kileleni, ili mfike wote kwa pamoja.
Raha yake nakwambia utachoka mwenyewe!

Back
Top Bottom