CLICKER
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 146
- 18
Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa kitaalam zaidi.
Mke wangu alipatwa na stillbirth muda wa miezi mitatu iliyopita na alijifungua kwa njia ya kawaida kabisa. Sasa naomba kueleweshwa kama ktk siku zile za hatari aka ovulation, anaweza akashika ujauzito mwingine ndani ya miezi minne baada tu ya tatizo tajwa hapo juu?
Naombeni majibu kwa anayefahamu vizuri.