Ni muda gani unaweza kupata mimba tena baada ya kujifungua?

CLICKER

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
146
Reaction score
18
Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa kitaalam zaidi.

Mke wangu alipatwa na stillbirth muda wa miezi mitatu iliyopita na alijifungua kwa njia ya kawaida kabisa. Sasa naomba kueleweshwa kama ktk siku zile za hatari aka ovulation, anaweza akashika ujauzito mwingine ndani ya miezi minne baada tu ya tatizo tajwa hapo juu?

Naombeni majibu kwa anayefahamu vizuri.
 
ndio inawezekana so be careful au tumia kinga.
 
Inategemea na sababu yenyw ya kupata stillbirth lkn anaweza pata ujauzito ndio
 
Tena ndo anaupata haraka sana kuliko alivokua hakujifungua kua makin sana
 
Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa kitaalam zaidi.

Mke wangu alipatwa na stillbirth muda wa miezi mitatu iliyopita na alijifungua kwa njia ya kawaida kabisa. Sasa naomba kueleweshwa kama ktk siku zile za hatari aka ovulation, anaweza akashika ujauzito mwingine ndani ya miezi minne baada tu ya tatizo tajwa hapo juu?

Naombeni majibu kwa anayefahamu vizuri.

Njia nzuri amnyonyeshe mtoto maziwa ipasavyo asimwachishe ziwa mapema hili linasaidia kuepusha ujauzito
 
Back
Top Bottom