Karibu tena kilingeni bibie ShostitoHi guys.
Mimi sio mgeni humu isipokuwa sikupata nafasi ya kucoment humu kwa zaidi ya miaka mitano sasa.
Sasa nimerudi rasmi.
Nimewamis JF members wahenga wenzangu. Akina Preta, Maria Roza na wengine.
Siku hizi JF imebadilika sana tofauti na enzi zetu. Lakini kitu kizuri ni kwamba bado JF ndio kimbilio la wengi katika kupata facts mbalimbali.
Tafadhali naomba mnikaribishe tena. Nimerudi kundini.
Asante.
Sawa muhenga weye, karibu.Hi guys.