Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Juzi tumeona waziri mkuu Majaliwa kassim Majaliwa bila aibu akisimama na kuipigia debe taasisi ya VETA ianze kudahili wanafunzi wenye degree.. na hii kutokana na uwepo wa wahitimu wengi wenye degree wasiokuwa na Ajira na moja ya kozi yenye mshike mshike kwa sasa katika soko la ajira ni ualimu.
Miaka 2012- 2014 vijana wengi waliokuwa wakihitimu kidato Cha Sita walikuwa wakimbilia kusoma ualimu kwa ngazi ya astashahada( certificate) stashahada ( DIPLOMA) na shahada ( degree) wakiamini wakimaliza Tu wanapata ajira kwa haraka lakini enzi hizo Baba riz serikali yake ilikuwa ikitoa mkopo kwa asilimia 100 kwa wanafunzi wa kozi Afya na ualimu.
Jambo hili lilifanya udahili uwe mkubwa hasa kwa kozi ya ualimu. Ninachoweza kuishauri serikali kushirikiana na baadhi ya vyuo pamoja na Tcu kupunguza udahili wa vijana wanaomba kusoma ualimu au kuacha kabisa walau kwa miaka mitano.