Wakuu,
Nimetafakari sana nimeona ni muda muafaka sasa wa kukutanishwa na ndugu zetu walioko mataifa mbalimbali hasa Amerika walitoka Africa wakati wa biashara ya watumwa. Kwa sasa technologia na human genetics ni kubwa mno tunaomba mataifa yaanze utaratibu wa kutukutanishwa - Kwa mfano wamarekani weusi wengi sana kiini chao ni Africa.
Nina imani human genetics huwa haipotei kwa vizazi kadhaa hivyo unaweza kujikuta wewe unayesoma bandiko hili una ukoo na Beyonce, Paf Dad, Tyson, Magic Johnson na mastaa wengi wa Marekani, kwa sababu mababu zao walitoka Africa katika karne ya 15 na 18.
Watumwa wengi sana walikwenda Amerika kama unavyoona kwenye mchoro hapa chini.