Ni muda muafaka wa ku-excercise ''open marriages''..?

Ni muda muafaka wa ku-excercise ''open marriages''..?

so that means zile amri 10 tunahalalisha 9 tu.... Halafu tunaibanjua ile 6?
 
Ningependa kujua uhusiano wa kukoj...nini sijui na kuzaa but its off topic Babu Mkuu

All in all nakuunga mkono Its a Big NO. Yaani MJ1 nianze kufikiria zile sarakasi nnazopigishwa mie enda pigishwa Maty au LD ah ntalazimisha 3sum kwa kweli (japo nikodolee macho tu) ...........mmbanu

Ha ha ha, MJ1 umenichekesha,
Hii Haukubaliki kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
so that means zile amri 10 tunahalalisha 9 tu.... Halafu tunaibanjua ile 6?

Daaa mi nafikiria wakati mwingine tujifunze kuishi maisha ya kiroho zaidi kuliko ya kidunia.
Manake nahisi dunia haina jipya, hata ukibanjuka sana.
Kuna mtu mmoja anaitwa Sulemani, alikuwa na wake mia
na masuria elfu moja kama sijakosea, lakini alikiri mwenyewe.
MACHO HAYACHOKI KUONA NA MASIKIO HAYACHOKI KUSIKIA.
Kama inawezekana tujifunze kuwa waaminifu kwa wale wenye ndoa, na wasio na ndoa wajifunze kuvumilia na kusubiri wakati wa ndoa.
Tujaribu kufikiria katika mambo yote tulioyafanya na tunayofanya tumepata faida kiasi gani??

Kama tunafikiri tunaweza kujifunza na kuikubali open marrige, basi tuende kinyume cha hiyo, tujifunze kuwa waaminifu,
katika ndoa zetu, na kwa wale tunaosema tunawapenda.
 
Ld upo sakristia? Mbona unaandika kimisale ya waumini hivi.
 
mbona unaunga mkono mmomonyoko wa maadili??? badala ya kuji-tune na kuzoea
tunatakiwa tuji-tune na kubadilika - issue nzima ni TAMAA ZA MWILI TU AMBAZO HAZIZAI MATUNDA YOYOTE
- divorce range za wenzetu (ughaibuni) ziko very high - kuachana ni mambo ya kawaida - lakini sisi bado tuna heshimu ndoa - NDIO WAKO WENGINE WANA-CHEAT - sasa ndio tuhalalishe KUCHEAT na tuite ni NDOA???
kuthibitisha kuwa ni KUCHEAT - ndio maana wengine wanajitahidi kuficha na kufanya siri -
INABIDI TU TUBADILIKE - MUNGU ANAPENDA NDOA IHESHIMIWE NA WATU WOTE NA MALAZI YAWE SAFI - Christian motive - WENZETU MOSLEMS NDIO WAKIAMUA KUFUNGA NDOA YA ZAIDI YA MKE MMOJA - WANAWEKA WAZI NA NADHANI KUNAKUWA NA MAKUBALIANO HAYO

sasa wewe una-base wapi??? kwa Mungu au...........si unaona jogoo hafichi?? kama kuna mitetea zaidi ya mmoja anafanya wazi.... ila naona hata mitetea wanaoneana wivu - in short what you suggest - wont work - think again and be blessed

Hapo kwenye Red, nakubaliana na wewe.
 
Siku hizi nikiingia hapa jf nahisi kuharibikiwa

ni kama huu mtandao unahalalisha kila ambacho zamani niliambiwa ni wrong.....
 
teamo jibu la swali lako kwa mtazamo wangu linatafautiana kutokana na umri. Kwa vijana below 34 years they will say YES to open marriage while kwa wale above that age definitely watasema NO to open marriage. Vijana wa umri chini wa miaka 34 sasa hivi mahusiano yao ni ya ki dot com , utakuta msichana anajua kabisa mwanaume anayemtaka anamtu wake but na yeye anatakubali kuwa nae as long as anapata anachotaka, like wise kwa wanaume wa umri huo mtu anajua kabisa msichana fulani anampenzi wake lakini anakubali kuw second man na maisha yanaenda..,ninachoweza kusema ni kuwa human behaviour keep changing from time to time na hii kutokana na kubadadilika kwa mazingira tunayoishi na haya yanayoitwa maendeleo. kwa sasa swala la open marriage kwa jamii yetu linaonekana kama ni gumu but its a matter of time watu watalikubali.
 
A husband wrote the following letter for his wife and left it on the dining room table:

To my dear wife.
You will surely understand that I have certain needs that you being 54 yrs old, can no longer satisfy. I am very happy with you and I value you as a good wife. Therefore, after reading this letter, I hope that you will not wrongly interpret the fact that I will be spending the evening with my 18 yr old secretary at the comfort inn hotel. Please don't be upset - I shall be home before midnight.

When the man came home late that night, he found the following letter on the dining room table:

My dear husband.
I received your letter and thank you for your honesty about my being 54 yrs old. I would like to take this opportunity to remind you that you are also 54 years old. As you know, I am a math teacher at our local college. I would like to inform you that while you read this, I will be at the Marriott hotel with Michael, one of my students. He is young, virile, and like your secretary, is 18 years old too. As a successful businessman who has an excellent knowledge of maths, you will understand that although it may appear that we are in the same situation, there is one mathematical difference:



Teamo hizo ndoa za wazi ndo kama hii??
 
Back
Top Bottom