Ni muda sasa Simba iachane na kucheza gemu za jihadi na kucheza professional game

Ni muda sasa Simba iachane na kucheza gemu za jihadi na kucheza professional game

hahaa dah kazi kweli,.....

Quality ya wachezaji wa kaskazini sio kama unavyofikiria ........
Mpaka Leo timu zinafungwa Moja au draw tumetoka mbali sana sio rahisi hivyo.
Ahsante
 
Naunga mkono hoja, Simba mashindano ya CCL huwa anacheza JIHAD na sio soka safi lenye kueleweka.
 
Kwakweli nathubutu kujipongeza japo naunganisha doti tunafeli wapi? Ndio nagundua Hizo gemu hizi mbili za mwisho kulikuwa na uwezekano wa kuchukua point tatu kati ya Galaxy au wydad
.......... Halafu ikaweje..!!!😛😛
 
Back
Top Bottom