Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Hongereni kwa ushindi wa leo........Nimejaribu kuangalia gemu nyingi Sana Simba alizocheza ugenini hususani na timu za kaskazini. Kama wangewekeza kwenye professional game huenda wangevuka hatua zaidi hata kufika nusu au fainal kabisa
Kwakweli nathubutu kujipongeza japo naunganisha doti tunafeli wapi? Ndio nagundua Hizo gemu hizi mbili za mwisho kulikuwa na uwezekano wa kuchukua point tatu kati ya Galaxy au wydadHongereni kwa ushindi wa leo........
.......... Halafu ikaweje..!!!😛😛Kwakweli nathubutu kujipongeza japo naunganisha doti tunafeli wapi? Ndio nagundua Hizo gemu hizi mbili za mwisho kulikuwa na uwezekano wa kuchukua point tatu kati ya Galaxy au wydad
Niliwaambia wawe makini wydad atafufukia kwaoSaidoo Na Kipara Chake Kama Mgongo wa Kijiko Nae akataka Kucheza Kama Pacome wa Yanga[emoji23] lakini wap[emoji23]