skendo
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 212
- 102
Ilianza hakuna Katiba Mpya
Mfano inapo tokea mtu kavunja Katiba nini ifanyike maana twaweza kua na katiba mpya inayopendekezwa na wengi na watu wakaivunja nn kinafanyika.
Maana hata sasa tunaona ikiwa inavunjwa kwa kutofuatwa mara nyingi. So issue ni katiba mpya au misingi mizuri ya kuisimamia iliyopo? Mtu anapo vunja katiba nini kinafanyika?
- Mara ikaja ya Warioba ikaishia njiani
- Mara ikaja wacha tujenge nchi kwanza.