Naona kabisa tunaelekea maana itafika hatua tutakosa cha kusema zaidi ya kuandika iyo Katiba Mpya. Lakini tatizo ni katiba au usimamizi wa katiba ulipo?
Mfano inapo tokea mtu kavunja Katiba nini ifanyike maana twaweza kua na katiba mpya inayopendekezwa na wengi na watu wakaivunja nn kinafanyika.
Maana hata sasa tunaona ikiwa inavunjwa kwa kutofuatwa mara nyingi. So issue ni katiba mpya au misingi mizuri ya kuisimamia iliyopo? Mtu anapo vunja katiba nini kinafanyika?