mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
----------------
2024, Aug 24.
Dar es Salaam.
Saa 3:35 asubuhi.
Kwanza nitoe pongezi kwa serikali yetu kutambua na kuheshimu imani za watu.
Binafsi ninaamini katika Mungu, tena kindaki ndaki. Lakini kuna jambo halipo sawa mahali. Nikiuliza leo hii wangapi waliujuaje Ukristo au Uislam, watajibu ni kupitia kwa wazazi wao.
Mtazamo wa dini unatakiwa kuwa wa mtu binafsi, si wa kulazimishwa. Umeshakuwa mtu mzima, ni wakati wa wewe kuutafuta ukweli wewe 'binafsi'.
Nchi hii haina dini. Mimi si atheist ila kuwatusi wasioamini katika Mungu ni upuuzi. Mbona atheist hawatusi mtu?
Atheists ni watu kama watu wengine, na wana haki ya kutambuliwa kama watu wengine.
Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kuwatisha tisha na kulazimisha kuwaaminisha kuwa kuna Mungu?
Atheists waanze kutambuliwa, na ikibidi wawe na taasisi zao kama zilivyo dini.
Nchi hii ni yetu sote. Ifike mahali mtu awe huru kueleza msimamo wake HADHARANI pasipo kuhofia CHOCHOTE.
Kwa nini uhuru wa atheists unaminywa?
Ni upuuzi!