Cjaelewa unachotaka kutuekeza
alipipa picha uchi?? Yaani masaburi na maeneo mengine aliyaacha wazi then akafotoa picha? Afande huyuhuyu au?Na ile picha akiwa uchi? Hafai acha apotee na muziki unamhama taratibu
vinega wanaolalamika hawajapata maslai
wakipata watapoa tu.muache kuwamini wanasiasa hawana adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu wenyewe maslai kwanza.Sugu ni mtafutaji kwahiyo hawezi kuacha wakati ameaidiwa fidia mradi wake wa marelia.mwenzenu alikua anadai mradi wake ninyi mlikua mnadai nini.?
naunga mkono hoja.
Afande fanya msamaha wa bure tulikuonea kumbe una jicho la tatu kweli.
maana yangu hapa ni kua afande sele aliposhiriki kwenye tamasha la cloudz wadau wengi tulimponda nikiwemo mm lakin kumbe alikua anatafuta rizik kama alivyofanya sugu juz kati
alipipa picha uchi?? Yaani masaburi na maeneo mengine aliyaacha wazi then akafotoa picha? Afande huyuhuyu au?
Siwezi kumuomba msamaha mtu ambaye hayuko makini, Clouds walimtukana sana na kumdharirisha,matokeo yake yeye ndio akawaomba msamaha badala ya wao, hana lolote aende zake huko.
Jicho la tatu!lipi?
Bado soggy naye kupata haki yake maana nasikia walimtoa kwenye station 1 huko mwanza alikokuwa anafanya kazi akaahidiwa kupewa shavu clauds kuja huku wakampotezea.
Jamaa anahasila nao sana.