Ni muda wa kumuomba msamaha AFANDE SELE

Ni muda wa kumuomba msamaha AFANDE SELE

Fraddle b

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
222
Reaction score
20
Sina budi kumuomba msamaha mkali wa rhymes Afande sele kwa kitendo changu cha kumuona snitch alipokubali kuimba kwenye show ya straight music kumbe kweli alifata masirahi, na ndio ambacho hata wenzake walichokua wanataka, so hata wana jf wengine mlio mshtumu mfalme wa rhymes ombeni samahan kama mm SAMAHANI AFANDE SELE
 
Cjaelewa unachotaka kutuekeza

maana yangu hapa ni kua afande sele aliposhiriki kwenye tamasha la cloudz wadau wengi tulimponda nikiwemo mm lakin kumbe alikua anatafuta rizik kama alivyofanya sugu juz kati
 
Na ile picha akiwa uchi? Hafai acha apotee na muziki unamhama taratibu
 
vinega wanaolalamika hawajapata maslai
wakipata watapoa tu.muache kuwamini wanasiasa hawana adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu wenyewe maslai kwanza.Sugu ni mtafutaji kwahiyo hawezi kuacha wakati ameaidiwa fidia mradi wake wa marelia.mwenzenu alikua anadai mradi wake ninyi mlikua mnadai nini.?
 
naunga mkono hoja.
Afande fanya msamaha wa bure tulikuonea kumbe una jicho la tatu kweli.
 
vinega wanaolalamika hawajapata maslai
wakipata watapoa tu.muache kuwamini wanasiasa hawana adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu wenyewe maslai kwanza.Sugu ni mtafutaji kwahiyo hawezi kuacha wakati ameaidiwa fidia mradi wake wa marelia.mwenzenu alikua anadai mradi wake ninyi mlikua mnadai nini.?

sisi 2likua tunapinga unyonyaji wa wasanii sugu akaja 2kajua naye ana suport kumbe alikua na interest binafs
 
Bado soggy naye kupata haki yake maana nasikia walimtoa kwenye station 1 huko mwanza alikokuwa anafanya kazi akaahidiwa kupewa shavu clauds kuja huku wakampotezea.
Jamaa anahasila nao sana.
 
Siwezi kumuomba msamaha mtu ambaye hayuko makini, Clouds walimtukana sana na kumdharirisha,matokeo yake yeye ndio akawaomba msamaha badala ya wao, hana lolote aende zake huko.
 
alipipa picha uchi?? Yaani masaburi na maeneo mengine aliyaacha wazi then akafotoa picha? Afande huyuhuyu au?

images
 
Siwezi kumuomba msamaha mtu ambaye hayuko makini, Clouds walimtukana sana na kumdharirisha,matokeo yake yeye ndio akawaomba msamaha badala ya wao, hana lolote aende zake huko.

sawa ali2kanwa lkn wao si ndio walimuita na kumpa shavu? Je vp kuhusu huyu wa sasa hv ambaye alifanya tamasha kabisa la kuponda cloudz leo kiulaiiin kala matapishi,so yy na afande hamna tofaut
 
Bado soggy naye kupata haki yake maana nasikia walimtoa kwenye station 1 huko mwanza alikokuwa anafanya kazi akaahidiwa kupewa shavu clauds kuja huku wakampotezea.
Jamaa anahasila nao sana.

statiön yenyewe ilikua RFA hapo mwanza lkn 2muombe afande msamaha
 
Back
Top Bottom