Ni muda wa kwenda Sudan kuchukua wachezajj

Ni muda wa kwenda Sudan kuchukua wachezajj

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Simba timu yangu na tanga Azam na nyenginezo frusa imejitokeza pale Sudan Vita hii ni ya kutumia kupata wachezaji japo atupendi Vita na tunaomba ishee wakae kwa amani
 
Unazani hawana mikataba?????.

UKISOMA uchumi au ukienda MAREKANI utakutana sana na Neno.

There is no free lunch in America.
Kwa hiyo mlipoamua kumrubuni Fei Toto, hamkujua ana mkataba?
Au mlitegemea mtaokota dodo chini ya mwarobaini kwa mara nyingine tena kama mlivyo bahatika kwa Bernard Morrison?
 
Simba timu yangu na tanga Azam na nyenginezo frusa imejitokeza pale Sudan Vita hii ni ya kutumia kupata wachezaji japo atupendi Vita na tunaomba ishee wakae kwa amani
Upumbavu mtupu,Sudan kuna wachezaji gani?
Halafu najua Simba ilivyo na watu wajinga wajinga watakusikiliza kwa kuwa wamezoea vya kunyonga.

Huu ushauri wa hovyo kabisa na ndio unaoiumiza Simba.
 
Back
Top Bottom