Ni muda wa maabara katika nchi za Afrika kuwa na "Next generation sequencing instruments"

Ni muda wa maabara katika nchi za Afrika kuwa na "Next generation sequencing instruments"

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Next generation sequencing ni instruments inayotumika ku-unlock cells and microorganisms genetic code, ambapo baada ya ku-unlock inazalisha data (omics datanyingi ambazo zinatakiwa zifanyiwe analytics na bioinformatician

Modern medicine imekua centered na data driven tofauti na traditional medicine, Bali next generation sequencing instruments ni nadra sana kuzikuta nchi za kiafrika au developed countries kwa ujumla

Ni muda Sasa kwa nchi za kiafrika kuwa na hii instruments kwenye maabara, itasaidia kuzalisha data na kuzifanyia analytics pasipo kutegemea nchi za magharibi au developed countries in general

Ugumu ni kwenye ku-analyze hizi data sababu ni unstructured na unique, Bali Kuna fulsa kwa wanaotaka kujua na kuwa bioinformatician kwa sababu ni wachache sana duniani wanaoweza kuna-analyze omics data.

Our-methodology-768x336 (1)_1608744849449.jpg
 
Back
Top Bottom