MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Simba tumekubaliana ni Aubin Kramo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunampigia kura Mtanzania mwenzetu.
Wiki??? Umeanzisha ya kwako auSema la wiki sio la CAFCC, na kama kuna mwarabu kwenye hao wachezaji hamtoboi na sisi makoro tunawafanya kama mlivotufanyia kwa Chama
Labda utukumbushe huenda tumesahauInamaana chama hajawahi kuchukua hivyo vituzo?
Nilisahau kumbe hizo tuzo za kimataifa Simba hawaziwezi, wanaziweza uto tuLabda utukumbushe huenda tumesahau