Ni muhimu Dkt. Slaa na wenzake wasikamatwe

Ni muhimu Dkt. Slaa na wenzake wasikamatwe

Hali ni tete kila kundi sasa linafuatiliwa kwa Karibu sana 😃
Ugaidi sio Dili ila Dialogue ndio mpango mzima.

Wahenga walisema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune" sisi Wanyalukolo tujikite hapo.
 
Haonwafinywe tu, wasiwachiwe hata kidogo.

Ni mqshetani wanaotaka amani na usalama wa Tanzania utoweke.

Kinachowspa kiburi haonni tec.

Hao na tec, wote ni wakufinywa mmoja mmoja tu.

Wala wasifanyiwe haraka.

Waanzwe wanaowatuma, kila mmoja afinywe kwa staili yake.
Hizi mbinu ni za kizee ile mbaya.
 
Ugaidi sio Dili ila Dialogue ndio mpango mzima.

Wahenga walisema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune" sisi Wanyalukolo tujikite hapo.
Israel ni ndugu zetu na Palestine ni ndugu zetu
 
Tunasikia mambo yanayotokea Mwanza. Hawa watu wanataka tu nafasi ya kutoa maoni yao. Kwa vile hawana nguvu,hakuna mtu anayetaka kuwasikiliza.
Polisi wanatumia ukali sana kwa vile wanafikiria askari lazima awe mkali.
Lakini mimi namkumbuka Brigadier General Moses Nnauye alivyokuwa mpole sana.
Siyo matendo tu yanatazamwa katika hukumu. Watu pia wanauliza mtu alikuwa anawaza nini .
Dr. Slaa anaposema "Nchi inaingizwa mkenge na huu mkataba wa bandari",huo ndio wakati wa kujiuliza,anaposema hivyo anawaza nini.
Labda Rais Samia au Prof. Mbarawa atasema,"Huu mkataba una faida sana kwa Watanzania." Watu lazima wajiulize anasema hivyo lakini anawaza nini. Anawaza"Hawa watu nawaambia mkataba huu una faida kwao,kwa nini wanashindwa kuelewa jambo dogo namna hii?". Au,anawaza nini.
Tazama Mahakamani utaona this pattern of speech,katika hukumu au katika mashitaka:"Wewe,bwana,ulisema unaweza kufanya hivi na hivi,huku ukijua kwamba ni uongo. Tunakutia hatiani."
Kwa hiyo,tunasema hatuoni sababu ya Dr.Slaa na wenzake,Utatu wa Dr. Slaa,Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kutishiwa usalama wao.
wakamatwe kwa haraka sana, na polisi iwathibiti vizuri sana kila kona na kwakweli wachukuliwe hatua muhimu stahiki za kisheria bila upendeleo, huruma, kubabaika wala kigugumizi ikiwa watatiwa hatiani kwa uchochezi, uhaini na kwa uwongo unazoweza kuleta hali yeyote ile ya taharuki inayohatarisha Amani na Utangamano miongoni mwa watanzania.
 
Makamu wa Rais Dr Mpango aliwaongoza Wananchi kumpokea baba Muadhama Protase Kardinali Rugambwa pale JNIA 😂😂

Matendo yanaongea zaidi!
Angekuwepo mama Samia angekwenda yeye kumpokea, tatizo nini? Hata papa akija atapokelewa tu.

Tanzania ni njema atakae na aje.
 
Namsikiliza Hapa Msemaji wa Jeshi la Israel anasema saa chache zijazo wataanza kushusha vitu vizito Gaza

Al jazeera news
Hamas huenda wakaondolewa na kusafishwa na hilo eneo huenda wakakabiziwa fatah chama cha Abu Mazen lakini safari hii mateka ni wengi itabidi maongezi yafanyike au Oparesheni kama ile ya Entebe ifanyike.
 
Hamas huenda wakaondolewa na kusafishwa na hilo eneo huenda wakakabiziwa fatah chama cha Abu Mazen lakini safari hii mateka ni wengi itabidi maongezi yafanyike au Oparesheni kama ile ya Entebe ifanyike.
Hamas wameanza kuachia mateka

Wanamkumbuka alichofanya Mosh Dayan
 
Israel hawakujua kuwa duniani hakunaga kiumbe dhaifu

Netanyahu: Ni Vita ngumu na ndefu ambayo haina mfano
Hapo Iran anamkagua Israel vizuri sasa.

Long range missiles za muiran zikitiwa mikononi na Mpalestina, navyowajua warabu hawa na visasi na hasira zao [emoji119]
 
Kizuri ni kwamba ukweli siyo mali ya mtu au kikundi fulani cha watu.
Mkataba wa bandari una masharti yanayoliumiza Taifa na suala hili lipo wazi kabisa.
 
Back
Top Bottom