BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Jan 27, 2012 #1 kipele-mahali unaposikia raha zaidi pakiguswa, ni muhimu kupafahamu inasaidia sana katika kumpa raha mwenzi wako!! ukishapafahamu, tulia hapo hapo!! pia kama ww mwenyewe unapajua ni vema ukamjuza, asipate shida kupatafta!!
kipele-mahali unaposikia raha zaidi pakiguswa, ni muhimu kupafahamu inasaidia sana katika kumpa raha mwenzi wako!! ukishapafahamu, tulia hapo hapo!! pia kama ww mwenyewe unapajua ni vema ukamjuza, asipate shida kupatafta!!
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 584 Jan 27, 2012 #2 Raha ukiwa mtundu utajua sehemu nyingi,sio kila siku hapo hapo haiwi tamu,unaweza kuanzia kwengine hapo ukamalizia...
Raha ukiwa mtundu utajua sehemu nyingi,sio kila siku hapo hapo haiwi tamu,unaweza kuanzia kwengine hapo ukamalizia...
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,553 Reaction score 3,081 Jan 27, 2012 #3 Kuambiwa hainogi, bora upatafute mwenyewe... Lakini wanwake bana wanapenda raha wapewe wao tu mara nyingi.:A S embarassed:
Kuambiwa hainogi, bora upatafute mwenyewe... Lakini wanwake bana wanapenda raha wapewe wao tu mara nyingi.:A S embarassed:
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Jan 27, 2012 Thread starter #4 Maundumula said: Kuambiwa hainogi, bora upatafute mwenyewe... Lakini wanwake bana wanapenda raha wapewe wao tu mara nyingi.:A S embarassed: Click to expand... saa ingine kuambiwa inabidi, maana wengine wanajua kujikausha kama kapigwa shoti...unachoka bureee, mwenzio macho makavuu hata hayalegei!!
Maundumula said: Kuambiwa hainogi, bora upatafute mwenyewe... Lakini wanwake bana wanapenda raha wapewe wao tu mara nyingi.:A S embarassed: Click to expand... saa ingine kuambiwa inabidi, maana wengine wanajua kujikausha kama kapigwa shoti...unachoka bureee, mwenzio macho makavuu hata hayalegei!!
M MUMY A JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 234 Reaction score 39 Jan 27, 2012 #5 mautundu yanahitajika babuu,sio lszima akwambie,patafute mwenyewe....