ni muhimu kujua "kipele" cha mwenzako kilipo..

ni muhimu kujua "kipele" cha mwenzako kilipo..

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
kipele-mahali unaposikia raha zaidi pakiguswa, ni muhimu kupafahamu inasaidia sana katika kumpa raha mwenzi wako!!
ukishapafahamu, tulia hapo hapo!!
pia kama ww mwenyewe unapajua ni vema ukamjuza, asipate shida kupatafta!!
 
Raha ukiwa mtundu utajua sehemu nyingi,sio kila siku hapo hapo haiwi tamu,unaweza kuanzia kwengine hapo ukamalizia...
 
Kuambiwa hainogi, bora upatafute mwenyewe...

Lakini wanwake bana wanapenda raha wapewe wao tu mara nyingi.:A S embarassed:
 
Kuambiwa hainogi, bora upatafute mwenyewe...

Lakini wanwake bana wanapenda raha wapewe wao tu mara nyingi.:A S embarassed:
saa ingine kuambiwa inabidi, maana wengine wanajua kujikausha kama kapigwa shoti...unachoka bureee, mwenzio macho makavuu hata hayalegei!!
 
mautundu yanahitajika babuu,sio lszima akwambie,patafute mwenyewe....
 
Back
Top Bottom