Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Tabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya CCM, dhidi ya viongozi wa CHADEMA Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi kupitia mitandao ya kijamii.
Kwanza ni hatari kwa usalama wake mwenyewe, lakini pia sio ustaarabu bali ni kukosa uzalendo, hekima na busara, lakini pia ni kukosa adabu kwa Taifa. Hana athari zozote kisiasa nchini kwasasa, lakini ni vyema akaachiwa huru baada ya uchaguzi wa chadema Taifa kumalizika, na itapendeza zaidi.
Infact,
Tamaa, ubinafsi na laana ya usaliti wa kidini, kifamilia na kisiasa vinamzeesha na kumfanya awe na tabia za kinafiki lakini pia anakua ana deka na kuact kama mtoto mdogo, kumbe ni mbabu mtu mzima
Ni muhimu akahifadhiwa ndani kwa kipindi kirefu, ili ajirekebishe na kurekebishwa parole na ili iwe fundisho kwa wazee wengine wenye tabia kama hizo na waliopoteza uelekeo wa kisiasa kama huyo mzee.🐒
Mungu Ibarki Tanzania