Pre GE2025 Ni muhimu sana mzee Wilbroad Peter Slaa awekwe korokoroni hadi baada ya uchaguzi wa CHADEMA taifa kumalizika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
uzushi na uongo anaousambaza huyo mzee mnafiki ni hatari sana kwa usalama wake,

so,
ni muhimu akawekwa korokoroni kwa muda mrefu zaidi mpaka ikithibitika kwamba hali ya usalama wake itakua iko shwari 🐒
Huo Usalama ni upi mpaka kuchukuliwa usiku wa manane?!Huko korokoroni ndio kwenye Usalama kweli,wewe mtoto temea mate chini Hakuna anayependa kukaa huko korokoroni!Labda wewe na nduguyo Mwashambwa.
 
Tabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya ccm, dhidi ya viongozi wa chadema Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi kupitia mitandao ya kijamii.

Kwanza ni hatari kwa usalama wake mwenyewe, lakini pia sio ustaarabu bali ni kukosa uzalendo, hekima na busara, lakini pia ni kukosa adabu kwa Taifa. Hana athari zozote kisiasa nchini kwasasa, lakini ni vyema akaachiwa huru baada ya uchaguzi wa chadema Taifa kumalizika, na itapendeza zaidi.

Infact,
Tamaa, ubinafsi na laana ya usaliti wa kidini, kifamilia na kisiasa vinamzeesha na kumfanya awe na tabia za kinafiki lakini pia anakua ana deka na kuact kama mtoto mdogo, kumbe ni mbabu mtu mzima

Ni muhimu akahifadhiwa ndani kwa kipindi kirefu, ili ajirekebishe na kurekebishwa parole na ili iwe fundisho kwa wazee wengine wenye tabia kama hizo na waliopoteza uelekeo wa kisiasa kama huyo mzee.🐒

Mungu Ibarki Tanzania
🖕
 
Huo Usalama ni upi mpaka kuchukuliwa usiku wa manane?!Huko korokoroni ndio kwenye Usalama kweli,wewe mtoto temea mate chini Hakuna anayependa kukaa huko korokoroni!Labda wewe na nduguyo Mwashambwa.
Gentleman,
korokoroni ni mahali salama zaidi kwa watu wanafiki, waongo na wazushi kama huyo mzee ,

mitandaoni anawazushia na kuwachonganisha watu kiasi kwamba imebainika hayupo salama tena.

na korokoroni ndiko panaweza kua salama yake zaidi 🐒
 
Siyokila wakati kamata kamata inakuwa suluhisho, bali inaongeza tatizo,badala ya kutatua.
 
kwa usalama wake dhidi ya uzushi na uongo anaousambaza mitandaoni, korokoroni ni mahali muafaka na salama zaidi kwa mzee wilbroad peter slaa kukaa 🐒
 
Kwani akikaa kwake hakuna usalama? Basi inabidi na wewe uekwe korokoroni kwa ajili ya usalama wako.
baada ya kuwanenea watu uzushi na uongo, huyo mzee mnafiki alikua anakusudia kujiteka mwenyewe 🐒
 
Yes,
usalama wake kama mTanzania mwenzetu ni muhimu zaidi ya hofu gentleman 🐒

Unajua kitu kikubwa kwa watu wanaofanya mambo kwa kufikiria ni kuwa askari huwa wanakufa, lakini mapambano lazima yaendelee mpaka kieleweke.

Simjui vizuri Slaa...na kusema kweli nina maswali na udadisi kadhaa ni kwanini aliacha upadre akaingia kwenye siasa. Je alikuwa ni wale wanaopandikizwa kwenye mifumo na taasisi karibu zote?

Je alifanya kitu ambacho kilimlazimu akae pembeni? Kuna muda haya yatajulikana. Ila kumzima mdomo ninavyoona sio jawabu. Itakuwa ndio waleeeeee
 
Kukamatwa Leo ijumaa, kupelekwa mahakamani Leo ijumaa, lengo ni kumpeleka gerezani.
Hapo yupo mikono salama!
Asitoke kabisaa
 
Unajua kitu kikubwa kwa watu wanaofanya mambo kwa kufikiria ni kuwa askari huwa wanakufa, lakini mapambano lazima yaendelee mpaka kieleweke.

Simjui vizuri Slaa...na kusema kweli nina maswali na udadisi kadhaa ni kwanini aliacha upadre akaingia kwenye siasa. Je alikuwa ni wale wanaopandikizwa kwenye mifumo na taasisi karibu zote?

Je alifanya kitu ambacho kilimlazimu akae pembeni? Kuna muda haya yatajulikana. Ila kumzima mdomo ninavyoona sio jawabu. Itakuwa ndio waleeeeee
alidokoa pesa za kanisa wakati wa ujio wa baba Mtakatifu wakati huo John Paul wa Pili,

alikua na tamaa za kimwili kupindukia, alipita na wake za watu mno,
ikalazimika aozwshwe mwanamke ambae alimuoa halafu baadae akamtema, na kisha kumpora mwanaume mwingine mke wake ambae ndio huyo alie nae sasa hivi.

kwenye siasa,
aliisaliti ccm akaenda chadema, akaisaliti chadema na kurudi CCM, sasa hivi baada ya kufukuzwa CCM, yupo ana tangatanga, kuropoka na kuzusha mambo mbalimbali ambayo kati ya hayo ndiyo yamemfamya atiwe nguvuni Leo,

kiufupi ni mtu mwenye tamaa ya mali, vyeo na wanawake, ni msaliti na mbinafsi mno kisasa, kijamii na kiuchumi, hakuna ambacho unaweza kujifunza kutoka kwake 🐒
 
Tabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya CCM, dhidi ya viongozi wa CHADEMA Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi kupitia mitandao ya kijamii.

Kwanza ni hatari kwa usalama wake mwenyewe, lakini pia sio ustaarabu bali ni kukosa uzalendo, hekima na busara, lakini pia ni kukosa adabu kwa Taifa. Hana athari zozote kisiasa nchini kwasasa, lakini ni vyema akaachiwa huru baada ya uchaguzi wa chadema Taifa kumalizika, na itapendeza zaidi.

Infact,
Tamaa, ubinafsi na laana ya usaliti wa kidini, kifamilia na kisiasa vinamzeesha na kumfanya awe na tabia za kinafiki lakini pia anakua ana deka na kuact kama mtoto mdogo, kumbe ni mbabu mtu mzima

Ni muhimu akahifadhiwa ndani kwa kipindi kirefu, ili ajirekebishe na kurekebishwa parole na ili iwe fundisho kwa wazee wengine wenye tabia kama hizo na waliopoteza uelekeo wa kisiasa kama huyo mzee.🐒

Mungu Ibarki Tanzania

Bila shaka CCM na machadema uchwara mko kwenye tafrija kwamba mpinga CCM mmoja kawekwa ndani.

Nani asiyewafahamu?

Bure kabisa!
 
usalama wa kila mTanzania ni muhimu sana, na utalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile hata kama muhusika ni mnafiki, mzushi na muongo kichizi kama huyo mzee 🐒
 
alidokoa pesa za kanisa wakati wa ujio wa baba Mtakatifu wakati huo John Paul wa Pili,

alikua na tamaa za kimwili kupindukia, alipita na wake za watu mno,
ikalazimika aozwshwe mwanamke ambae alimuoa halafu baadae akamtema, na kisha kumpora mwanaume mwingine mke wake ambae ndio huyo alie nae sasa hivi.

kwenye siasa,
aliisaliti ccm akaenda chadema, akaisaliti chadema na kurudi CCM, sasa hivi baada ya kufukuzwa CCM, yupo ana tangatanga, kuropoka na kuzusha mambo mbalimbali ambayo kati ya hayo ndiyo yamemfamya atiwe nguvuni Leo,

kiufupi ni mtu mwenye tamaa ya mali, vyeo na wanawake, ni msaliti na mbinafsi mno kisasa, kijamii na kiuchumi, hakuna ambacho unaweza kujifunza kutoka kwake 🐒

Wewe unafikiri alifanya hayo yote kwa bahati mbaya? CDM ni nani? Slaa ni nani? Tusimueleze kwa urahisi namna hii. Kuna mengine makubwa nyuma yake
 
ni laana ya tamaa, ubinafsi na usaliti vinamdrive crazy uzeeni gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom