Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Huo Usalama ni upi mpaka kuchukuliwa usiku wa manane?!Huko korokoroni ndio kwenye Usalama kweli,wewe mtoto temea mate chini Hakuna anayependa kukaa huko korokoroni!Labda wewe na nduguyo Mwashambwa.uzushi na uongo anaousambaza huyo mzee mnafiki ni hatari sana kwa usalama wake,
so,
ni muhimu akawekwa korokoroni kwa muda mrefu zaidi mpaka ikithibitika kwamba hali ya usalama wake itakua iko shwari π
πTabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya ccm, dhidi ya viongozi wa chadema Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi kupitia mitandao ya kijamii.
Kwanza ni hatari kwa usalama wake mwenyewe, lakini pia sio ustaarabu bali ni kukosa uzalendo, hekima na busara, lakini pia ni kukosa adabu kwa Taifa. Hana athari zozote kisiasa nchini kwasasa, lakini ni vyema akaachiwa huru baada ya uchaguzi wa chadema Taifa kumalizika, na itapendeza zaidi.
Infact,
Tamaa, ubinafsi na laana ya usaliti wa kidini, kifamilia na kisiasa vinamzeesha na kumfanya awe na tabia za kinafiki lakini pia anakua ana deka na kuact kama mtoto mdogo, kumbe ni mbabu mtu mzima
Ni muhimu akahifadhiwa ndani kwa kipindi kirefu, ili ajirekebishe na kurekebishwa parole na ili iwe fundisho kwa wazee wengine wenye tabia kama hizo na waliopoteza uelekeo wa kisiasa kama huyo mzee.π
Mungu Ibarki Tanzania
Gentleman,Huo Usalama ni upi mpaka kuchukuliwa usiku wa manane?!Huko korokoroni ndio kwenye Usalama kweli,wewe mtoto temea mate chini Hakuna anayependa kukaa huko korokoroni!Labda wewe na nduguyo Mwashambwa.
utoto tuusalama wa kila mTanzania utalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
kukaa korokoroni ni njia mojawapo ya kulinda amani kwa waTanzania hususani wazishi na waongo kama hicho kizee π
kwa usalama wake dhidi ya uzushi na uongo anaousambaza mitandaoni, korokoroni ni mahali muafaka na salama zaidi kwa mzee wilbroad peter slaa kukaa πSiyokila wakati kamata kamata inakuwa suluhisho, bali inaongeza tatizo,badala ya kutatua.
Kwani akikaa kwake hakuna usalama? Basi inabidi na wewe uekwe korokoroni kwa ajili ya usalama wako.Yes,
usalama wake kama mTanzania mwenzetu ni muhimu zaidi ya hofu gentleman π
Yes,
usalama wake kama mTanzania mwenzetu ni muhimu zaidi ya hofu gentleman π
huyu mzee ni muongo kichizi dah!
halafu kadiri anavyozidi kuzeeka anakua mzushi na mwenye stress zaidi [emoji205]
alidokoa pesa za kanisa wakati wa ujio wa baba Mtakatifu wakati huo John Paul wa Pili,Unajua kitu kikubwa kwa watu wanaofanya mambo kwa kufikiria ni kuwa askari huwa wanakufa, lakini mapambano lazima yaendelee mpaka kieleweke.
Simjui vizuri Slaa...na kusema kweli nina maswali na udadisi kadhaa ni kwanini aliacha upadre akaingia kwenye siasa. Je alikuwa ni wale wanaopandikizwa kwenye mifumo na taasisi karibu zote?
Je alifanya kitu ambacho kilimlazimu akae pembeni? Kuna muda haya yatajulikana. Ila kumzima mdomo ninavyoona sio jawabu. Itakuwa ndio waleeeeee
Tabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya CCM, dhidi ya viongozi wa CHADEMA Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi kupitia mitandao ya kijamii.
Kwanza ni hatari kwa usalama wake mwenyewe, lakini pia sio ustaarabu bali ni kukosa uzalendo, hekima na busara, lakini pia ni kukosa adabu kwa Taifa. Hana athari zozote kisiasa nchini kwasasa, lakini ni vyema akaachiwa huru baada ya uchaguzi wa chadema Taifa kumalizika, na itapendeza zaidi.
Infact,
Tamaa, ubinafsi na laana ya usaliti wa kidini, kifamilia na kisiasa vinamzeesha na kumfanya awe na tabia za kinafiki lakini pia anakua ana deka na kuact kama mtoto mdogo, kumbe ni mbabu mtu mzima
Ni muhimu akahifadhiwa ndani kwa kipindi kirefu, ili ajirekebishe na kurekebishwa parole na ili iwe fundisho kwa wazee wengine wenye tabia kama hizo na waliopoteza uelekeo wa kisiasa kama huyo mzee.π
Mungu Ibarki Tanzania
usalama wa kila mTanzania ni muhimu sana, na utalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile hata kama muhusika ni mnafiki, mzushi na muongo kichizi kama huyo mzee πBila shaka CCM na machadema uchwara mko kwenye tafrija kwamba mpinga CCM mmoja kawekwa ndani.
Nani asiyewafahamu?
Bure kabisa!
alidokoa pesa za kanisa wakati wa ujio wa baba Mtakatifu wakati huo John Paul wa Pili,
alikua na tamaa za kimwili kupindukia, alipita na wake za watu mno,
ikalazimika aozwshwe mwanamke ambae alimuoa halafu baadae akamtema, na kisha kumpora mwanaume mwingine mke wake ambae ndio huyo alie nae sasa hivi.
kwenye siasa,
aliisaliti ccm akaenda chadema, akaisaliti chadema na kurudi CCM, sasa hivi baada ya kufukuzwa CCM, yupo ana tangatanga, kuropoka na kuzusha mambo mbalimbali ambayo kati ya hayo ndiyo yamemfamya atiwe nguvuni Leo,
kiufupi ni mtu mwenye tamaa ya mali, vyeo na wanawake, ni msaliti na mbinafsi mno kisasa, kijamii na kiuchumi, hakuna ambacho unaweza kujifunza kutoka kwake π