Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Hii itasaidia sana kuongeza uwakilishi wa wananchi katika vyombo vya maamuzi kitaifa na kusogeza huduma za kijamii kisiasa na kiuchmi karibu zaidi na walipo wananchi.
Zaidi sana,
itarahisisha sana, wananchi kupata huduma za muwakilishi wao na access ya kumuona kwa uhakika na urahisi sana.
Ni muhimu na ni jambo la busara sana kwa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, kugawanya maeneo haya kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote.
Na ni hili ni jambo la maana sana, likafanywe na kwenye maeneo mengine yenye idadi kubwa za wakaazi lakini pia maeneo yenye vijiji na kata nyingi zaidi bila kujali maslahi na makelele ya kisiasa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania