Kwa mawazo kama haya; naona kama haya mambo ya kugawa majimbo yanaenda kuwa mzigo mkubwa sana kwa Serikali hadi tufike 2050 pengine kila Tarafa itageula kuwa jimbo???
Nafikiri kuna haja ya kuanza kukaribisha mawazo mbadala pengine tubadilishe namna ya uwakilishi uwe wa kikanda (province) na vigenzo vya kupata hiyo nafasi viendane na wakati ili kuwa na wawakilishi wachache lakini wenye tija tofauti na hapo, takribani 1/3 ya bajeti inaweza kuishia kwenye kuendesha Bunge!