The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Wenzio tumeenda Leo jumamosi,Akaenda Nazereti hapo alipolelewa,Na siku ya Sabato akaingia katika Sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake.(Luka 4:16).Ibada njema.Kesho ni siku kubwa sana kwa sisi waamini..kwa kweli hata sisi wavivu wa kusali tumehamsika.
Kupalizwa mbinguni bikira maria siyo jambo dogo huku pembeni kuna waraka wa DPW.
Ebana eee kesho mapemaaaa misa ya kwanza kabisa afu seat ya mbele karibu na baba paroko.
Asiende kusinzia!Usisahau kuja na sadaka mkuu pmj na fungu la kumi na Kuna michango mingine ya ujenz wa kanisa na shule ya kanisa piaa ..karibu sana
Nenda uwapelekee sadaka majiziKesho ni siku kubwa sana kwa sisi waamini..kwa kweli hata sisi wavivu wa kusali tumehamsika.
Kupalizwa mbinguni bikira maria siyo jambo dogo huku pembeni kuna waraka wa DPW.
Ebana eee kesho mapemaaaa misa ya kwanza kabisa afu seat ya mbele karibu na baba paroko.
Kesho ni siku kubwa sana kwa sisi waamini..kwa kweli hata sisi wavivu wa kusali tumehamsika.
Kupalizwa mbinguni bikira maria siyo jambo dogo huku pembeni kuna waraka wa DPW.
Ebana eee kesho mapemaaaa misa ya kwanza kabisa afu seat ya mbele karibu na baba paroko.
Wahi mkuu ukapate Neno la waraka! ,upone kiroho!Kesho ni siku kubwa sana kwa sisi waamini..kwa kweli hata sisi wavivu wa kusali tumehamsika.