Kuna shule za bording nkPedophiles wataharibu watoto, tatizo mnadhania ni wahuni wahuni wa mtaani, hapana, ni watu wa karibu yako kabisa.
Watoto wengi wamebaki na childhood trauma hadi wamekuwa ukubwani
Hivi mnadhani watoto wa kiume machapati wanaanzia wapi? Wajomba zao wamerubuni na kulawiti watoto wenu.
Hivi mnadhani watoto wa kike kuukumbatia ufuska angali akiwa binti wa miaka 11, 12, 13, inaanzia wapi? Baba mdogo zao wamewabaka na kuwatishia
Kama unavyumba vyako viwili vya kualla hakikisha mgeni akusalimie jioni asepe au mtafutie gesti alale.
Hivi siku hizi wanafunz wa vyuoni kama udsm hawabebani tena?Utandawazi ndio umechangia kwa kiasi kikubwa haya mambo. Zamani tulikuwa tunalala pamoja bila kuona jambo hilo kama tatizo. Hata mashuleni, kuna kipindi kulikuwa na uhaba wa vitanda na magodoro, hivyo wanafunzi walilazimika kulala pamoja, lakini haikuwa sababu ya kutokea kwa matatizo kama haya.
Tatizo kubwa la sasa ni namna teknolojia na mitandao imefanya maudhui ya ngono kupatikana kwa urahisi sana. Kuna aina za porn zinazohusisha hata mazingira ya kifamilia kama “mama na mtoto”, “baba na mtoto”, “dada na kaka”, pamoja na maudhui yanayohusisha watoto na watu wasiowajua.
Mtu akizoea kutazama maudhui hayo mara kwa mara, anaweza kuanza kuona mambo ambayo ni mabaya na yasiyokubalika kama kitu cha kawaida. Kwa baadhi ya watu, hali hiyo inaweza kuchochea tabia hatarishi na uhalifu wa kingono.
Ndiyo maana tunahitaji kuwa makini sana na watoto, matumizi ya mitandao na aina ya maudhui wanayokutana nayo. Kulinda watoto si jukumu la mzazi mmoja tu; ni jukumu la familia na jamii nzima.
Mimi sitotaka wageniPedophiles wataharibu watoto, tatizo mnadhania ni wahuni wahuni wa mtaani, hapana, ni watu wa karibu yako kabisa.
Watoto wengi wamebaki na childhood trauma hadi wamekuwa ukubwani
Hivi mnadhani watoto wa kiume machapati wanaanzia wapi? Wajomba zao wamerubuni na kulawiti watoto wenu.
Hivi mnadhani watoto wa kike kuukumbatia ufuska angali akiwa binti wa miaka 11, 12, 13, inaanzia wapi? Baba mdogo zao wamewabaka na kuwatishia
Kama unavyumba vyako viwili vya kualla hakikisha mgeni akusalimie jioni asepe au mtafutie gesti alale.
Its 2026 bado mwana JF unaruhusu mgeni alale chumba kimoja na mwanao? STOP BEING AN IDIOT!Pedophiles wataharibu watoto, tatizo mnadhania ni wahuni wahuni wa mtaani, hapana, ni watu wa karibu yako kabisa.
Watoto wengi wamebaki na childhood trauma hadi wamekuwa ukubwani
Hivi mnadhani watoto wa kiume machapati wanaanzia wapi? Wajomba zao wamerubuni na kulawiti watoto wenu.
Hivi mnadhani watoto wa kike kuukumbatia ufuska angali akiwa binti wa miaka 11, 12, 13, inaanzia wapi? Baba mdogo zao wamewabaka na kuwatishia
Kama unavyumba vyako viwili vya kualla hakikisha mgeni akusalimie jioni asepe au mtafutie gesti alale.
Kwanini wasibebane? Wanabebana sana,ukishaitwa mwanafunzi tu wewe ni mtotoHivi siku hizi wanafunz wa vyuoni kama udsm hawabebani tena?
Nikajua kwa sasa accomodation ni ya uhakika.Kwanini wasibebane? Wanabebana sana,ukishaitwa mwanafunzi tu wewe ni mtoto
Mkuu mbona unatuonea wajomba.Hivi mnadhani watoto wa kiume machapati wanaanzia wapi? Wajomba zao wamerubuni na kulawiti watoto wenu.
YapNiliwahi kushuhudia Mjomba akifanya ngono na mtoto wa kike wa dada yake na si mara moja. Hadi leo yeye wala dogo hakuna anayefahamu kama nilikua nawaona.
Ukizingatia upande wetu wa mama kuna madem kadhaa na alikuwaga mchangamfu sana kwao hadi leo, huwa naamini kuna kadhaa alipita nao pia.
Hii ni moja kati ya vitu ambavyo nadhani nitakwenda navyo kaburini bila kuvisema mahala popote maaana inaweza ikasambaratisha ukoo na kuua baadhi ya watu kwa presha.