Ni mwaka gani ulikuja Dar es Salaam?

ukuuziwa sababuni badala ya simu !.
ukupigwa fingerprint aka ndole !
ukutingishwa na watu baada ya kukuona unazubaa!.
ukutandikwa bei bila kujua bei yake.

2016 ulikwenda coco beach kupiga picha au daraja la manzese
 
Dah
ukuuziwa sababuni badala ya simu !.
ukupigwa fingerprint aka ndole !
ukutingishwa na watu baada ya kukuona unazubaa!.
ukutandikwa bei bila kujua bei yake.

2016 ulikwenda coco beach kupiga picha au daraja la manzese
Dah nliwahi kukabwa na vijana wa ovyo
Picha yangu ya kwanza nilipiga mlimani city
 
Ndio nimefika leo nataka leo nikatembee kinondoni shamba, mwananyamala kwa kopa, sinza kwa remi, niende whiteinn halafu nitafute ilipo njia ya kigogo ruhanga nipite firstinn nishukie kigogo polisi hadi roundabout nipandishe kwenda ilala, nikashangae mwalimu house kidogo halafu nikale pweza bungoni nirudi sheli buguruni nivuke barabara nipitie mapupu vingunguti nichape zangu tabata segerea halafu niende kinyerezi nizugezuge nipitie malamba nitokee mbezi, nije temboni nipandishe salanga halafu nihakikishe napita goba nipandishie salasala niende zangu tangibovu halafu nikatize kushoto niende zangu kawe ukwamani, nitokee mikocheni kesho nitawajuza hali ikoje maana ndio leo nimefika hapa
 
Usisahau kurequest bolt tu hapo
 
Usisahau kurequest bolt tu hapo

Wakati kuna boda to boda mbezi kimara kwa mguu dakika 25 , kimara maji unavukia upande kama unaenda kwa mkua pale korogwe natembea dakika 20 , hela ya bolt sina buku tatu, inalinda mfuko hapo ni maji ya kandoro, ugali dagaa buku wa kushiba, asubuhi vitumbua na uji ndio zetu hatuna makuu, mihogo ya kukaangwa mia mia na chai inawekwa na kachumbari hatuna habari, ugali mkavu jero miguu ya kuku na vichwa vya kuku 300 chachandu kiasi unashiba kabisa
 
Mimi nilitumwa na kijiji kuja kusoma chuo cha mlimani mwaka 1985, halafu nikawapiga bao mnaojiita wa mjini.....

 
Inaonekana wewe ni mwenyeji sana.
 
Kaaahhh ...wewe wa kino kabisaa
Ikisha kesho uende posta,upande pantoni mpk kigamboni,then uelekee mji mwema ,mpk kibada utokee mbagala ,halafu upande gari za chanika za kupita mbande,mvuti,uje utokee chanika upande gari za kigogo sokoni,ushuke upande gari za mawasiliano,usheke river side pale stand upande mwendokasi ukashangae kariakooo
 
We unazurura Jamani kaaahh..siku Moja nilikua sipajui bonyokwa Niko Kwa private tunaenda segerea nafika pale kimara napitishwa rough road nashangaa kuja kushtuka Yuko segerea mweeehh,dar imekua sana
 
Anaweza kuwa dereva wa daladala hz za mjini tour guide wa halmashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…