Ni mwaka gani ulikuja Dar es Salaam?

Ni mwaka gani ulikuja Dar es Salaam?

Nipo Chalinze nakuja
Msilale mje kunipokea nisipotee
 
Mimi pia natamani nifike huko mikoani nipande milima niote vigimbi Kama wasukuma
 
Wakati huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka umenifanya nikumbuke nilivyokuja Dar kwa mara ya kwanza ilikuwa 2016.
Wakati wa Disco Motel Agip pale Samora,
wakati kuna YMCA Disco, baadae kukawa na Lang'ata
Wakati hakuna Clouds Media kuna Mawingu Disco pale pool side Kilimanjaro hotel, sasa hivi Hyatt Regency Hotel Kusaga akiwa DJ Mkali,
Nikaondoka nikarudi tena wakati kuna mambo Club, Kabla ya Buzuki la Tazara na Bugi Master,
Wakati kuna Silent inn Mwenge,
Wakati kuna only one Fm Radio Station, Radio One, Seba Maganga na Taji Liundi wakiwa DJ hapo Radio one
Wakati wa Tambo za mgahawa wa steers sasa hivi kuna lake Oil pale mahala,

#TBT.......
 
Duh umetupoteza tayari hapo
 
Back
Top Bottom