Ni mwaka wa tano sasa, sijwahi kusikia wala kuona mtu anaumwa malaria, uchawi gani huu?

Ni mwaka wa tano sasa, sijwahi kusikia wala kuona mtu anaumwa malaria, uchawi gani huu?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Miaka ya 2015 kurudi nyuma, binafsi ilikuwa haipiti mwaka sijumwa malaria, na haipiti wiki lazima nisikie habari za mtu wangu wa karibu au rafiki au jirani au ndugu wa mbali kaumwa malaria.

Lakini toka 2015 kuja mbele hali imekuwa ya miujiza kabisa, sisikii wala kuona mtu anaumwa, si mimi wala jirani wa ndugu, kuna nini kinaendelea hapa? Wauguzi hospitalini kuna wagonjwa wa malaria mnawaonaga huko?
 
Ngoja watu wa dar na morogoro waje wakweleze malaria inavyochapa watu
 
we unafanya kazi hospital au kituo cha afya?
 
Back
Top Bottom