FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nadhani usafi katika mazingira ya jamii yanaweza kuwa yamechangiaZamani magonjwa mengi yalichagizwa na uchafu...kizazi hiki at least kinajitahidi usafi
Bila shaka, mi mwenyewe nimeshangaa malaria kumuua mzee wetu wakati mtaani hakuna malaria!Nadhani usafi katika mazingira ya jamii yanaweza kuwa yamechangia