Utaratibu wangu mara mbili au tatu kwa wiki nikitoka kazini mida ya jioni huwa napaki gari maeneo kadhaa kwa dakika 10 hadi nusu saa naanza kuzunguka nikiona bibi anauza karanga nampa elf 5 ntachukua karanga za mia sichukui chenji, mtoto anaeuza ndizi ntampa elf 2 naweza nisichukue ndizi, mwanafunzi kiatu kimegaribika ntampa elf 10, watoto wa mutaani ntamsaidia elf 3, n.k. kwa mwezi naweza kutumia elf 80 hadi laki 1 na elf kadhaa si haba japo kipato changu kidogo, Sheria yangu sipendi watu wanijue hivyo nafanya kwa kificho, sipendi kurudi sehemu moja hadi mda upite, siwezi kumsaidia mtu wakati wengine wananiona, n.k. ni kwa ulinzi wangu pia.
Sisaidii kusema kwamba nategemea baraka, kufutiwa dhambi, kujihakikishia kwenda mbinguni. NO ! NO ! HAPANA !! misaada unayotoa haiwezi kuwa rushwa, God cant be bribed !! nafanya kibinadamu tu lakini hata kwenye maombi yangu navyofikia kusema "Mungu wasaidie na watu wenye shida mbali mbali" basi nami najua kwa mbali sana nimeweza kutoa chochote ila narudia tena "bila mategemeo ya kupewa baraka"
Nasali kila siku, sijawahi kulala bila kusali, kula bila kusali, kuomba msaada wa Mungu napokuwa na shida, n.k. lakini kuhusu kwenda kanisani sijaenda kwa miaka 5 tangu 2019,
Sababu zangu za kuacha kwenda kanisani ni kwamba makanisa yanazidi kupoteza asili yake / originality mbaya zaidi hayakemei kama zamani, ni kweli tumeambiwa tusali kwa kukusnyika lakini ni vema kuitathmini
sehemu unayokusanyika.
Kanisani naweza kurudi lakini wala nisiwe mnafki nitarudi zaidi kwajili ya mambo ya kusocialize

- Leo hii tunajua ni wazi kabisa kanisa la Roma likiongozwa na papa wake lina waraka wa kusapoti mahusiano ya jinsia moja, Ukienda anglikana viongozi walisharuhusu mapema haya mambo, kwanini haya makanisa yasijimegue ? maaskofu wanathamini zaidi vyeo na maslahi ?
- Sikuhizi makanisani wanawake wanavaa wanavyotaka, magauni yanayowabana shepu zinachoreka, migongo wazi, vifua vimeachwa, n.k. sio kama zamani walikuwa wanazuiwa getini, utawasikia kinachoangaliwa ni roho.
- Wanawake wanahubiri makanisani, makanisa kama lutheran yanaruhusu wanawake lakini haikuwa hivyo hapo mwanzo
- Migogoro ya maslahi, Kanisa kama Kkkt limekuwa na migogoro mingi sana, ukichunguza chanzo ni maslahi na vyeo
- Wasabato nao wanazidi kubadilika kila kukicha, wachungaji wanachonga panki, vijana wao wengi wana watoto bila ndoa, kuruhusu wachungaji wa kike, n.k.
- Huko kwa walokole ndio kabisaaa, siwezi fikiria hata kukanyaga, ndio wanaofanya zaidi ukristo uonekane ni kutuko, yamegeuka kuwa makanisa ya kutajirisha wachungaji, miradi ya familia kwa kuuza huduma kama kumuona mchungaji, Mafuta ya upako, keki za upako, na takataka nyingine, hivi majuzi tu Kiboko ya wachawi kawacheka sana waliokuwa wanampa pesa awaombee
Kanisani naweza kurudi lakini wala nisiwe mnafki nitarudi zaidi kwajili ya mambo ya kusocialize