Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Si wananikata kwenye miamala na umeme au hazitoshi?Muda wa kutoa kitu kidogo..😀
Ndo maana wanakujibu vibaya! Mkuu Kama unashida nacho serious utakipata katoe kitu kidogo.. waswahili walisema mkono tupu haulambwiSi wananikata kwenye miamala na umeme au hazitoshi?!
Ulipiga Kura?!!.. Unataka katiba mpya au Tume Huru ya Uchaguzi?!!.. wenzako wameshapiga fedha na wengine hatunao tena!!..wanaliwa na funza huko!!Nilijiandikisha NIDA tangu March,2019. Mwaka Jana 2020 nikapata namba, nikaambiwa kitambulisho Bado. Mwaka huu nimefuatilia sana naambiwa tu subiri kikiwa tayari utapigiwa simu. Mbaya zaidi watumishi wa pale wala lugha mbaya sana. Ukiuliza swali kwa ustaarabu wanakujibu kama ugomvi vile. Eti "kama umeshapata namba umefuata nini hapa?" !
Naomba mwenye kujua alternative procedures nipate kadi maana ninashida na kadi na siyo namba.
Ahsante.
Inahusiana nani na kura?!Ulipiga Kura?!!.. Unataka katiba mpya au Tume Huru ya Uchaguzi?!!.. wenzako wameshapiga fedha na wengine hatunao tena!!..wanaliwa na funza huko!
Kura sindio imekufanya unapiga mayowe!!Inahusiana nani na kura?!
Sikuichagua serikali iliyopo madarakani. Unasemaje?;Kura sindio imekufanya unapiga mayowe!!
Mbona Kuna wengine walipewa vitambulishoSerikali ilitaka database ya watu wake tu.
Mbona Kuna wengine walipewa vitambulisho
Ulikuwa unawasaidia Bure au ilikuwa negotiationsMi nlikuwa operetor kipnd wanaanza nikajichanganyq kusaidia watu kuweka finger prnt kwa wale ambao vidole vimekataa,ckuwa najuwa madhara yake xo hadi leo cjapatq hata namba...nnaomba kama kuna njia ya kuipata hyo namba hata kwa kupitia kitu kidogo anipe maelekezo
Ni bure mkuu,wale operator wakuu ndo walikuwa wananielekeza kuwa mtu kama mzee ambaye unaona baadhi ya vidole havisomi,nimsaidie tu kuviwekaUlikuwa unawasaidia Bure au ilikuwa negotiations
Hatari😅Ni bure mkuu,wale operator wakuu ndo walikuwa wananielekeza kuwa mtu kama mzee ambaye unaona baadhi ya vidole havisomi,nimsaidie tu kuviweka
Sanaa mkuu,enyew ndo kama iv sikuwa mmbobezi sanaa ndo maana hata sikujua madhara yake kwa baadaeHatari😅
Bado unapiga hiyo Kona?Sanaa mkuu,enyew ndo kama iv sikuwa mmbobezi sanaa ndo maana hata sikujua madhara yake kwa baadae