Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nshatemana nayo mkuu,ilikuwa 2017Bado unapiga hiyo Kona?
Kuna sehemu natakiwa nipeleke copy ya kitambulisho Cha NIDA. Hawapokei Cha kupigia kura wa la cheti Cha kuzaliwaMimi nilishakata tamaa hata kufuatilia hicho kidude. Kama una namba tumia hiyo hiyo
Kama ni hivyo, maandalizi ya sensa yana maana gani sasa!Serikali ilitaka database ya watu wake tu.
Nyinyi mnakwama wapi. Watu mbona vinapotea na wanapewa vingine haraka ti baada ya kulipia 20 Kama taratibu zao zinavyoelekeza!Naona hili la kitambulisho cha nida ni janga,mimi tangu 2018 mpaka leo sijapata kitambulisho na kila ukiulizia hamna majibu ya uhakika ya kuvipata
Kulipia 20 wapi?Nyinyi mnakwama wapi. Watu mbona vinapotea na wanapewa vingine haraka ti baada ya kulipia 20 Kama taratibu zao zinavyoelekeza!
Mimi walinipigia nikachukue cha kwangu, nilipofika nikakuta kitambulisho changu kina taarifa ambazo sio zangu, kitu pekee kilichokua sahihi ni jina langu lakini vingine vyote sio vya kwangu kuanzia tarehe ya kuzaliwa, mwaka na hata picha ni ya mtu mwingine, mpaka sasa ni miaka miwili sijapatiwa kitambulishoNilijiandikisha NIDA tangu March,2019. Mwaka Jana 2020 nikapata namba, nikaambiwa kitambulisho Bado. Mwaka huu nimefuatilia sana naambiwa tu subiri kikiwa tayari utapigiwa simu. Mbaya zaidi watumishi wa pale wala lugha mbaya sana. Ukiuliza swali kwa ustaarabu wanakujibu kama ugomvi vile. Eti "kama umeshapata namba umefuata nini hapa?" !
Naomba mwenye kujua alternative procedures nipate kadi maana ninashida na kadi na siyo namba.
Ahsante.
Nyinyi mnakwama wapi. Watu mbona vinapotea na wanapewa vingine haraka ti baada ya kulipia 20 Kama taratibu zao zinavyoelekeza!
Kwa sasa hakuna taasisi inayoweza kukulazimisha upeleke copy ya kitambulisho cha NIDA ksbb taasisi zote wanajua vitambulisho havitolewi. Isipokuwa namba tu ya NIDA inatumika mahala popote kwa sasa. Hata unapo-aplay passport kwa sasa unadaiwa namba tu ya NIDA. Hata wanafunzi wa vyuo waliokuwa wana-aplay juzi kati wametumia namba tu.Kuna sehemu natakiwa nipeleke copy ya kitambulisho Cha NIDA. Hawapokei Cha kupigia kura wa la cheti Cha kuzaliwa
NIDA wenyewe wanakupa control number alafu ndo unaenda kulipia crdb bank. Sawa na ukitaka kurekebisha majina au simu ulioandika NIDA utaratibu ni huo.Hiyo 20 inalipwa wapi? Kwa nani?
20k unalipia crdb bank.Kulipia 20 wapi?
Duh,wakati changu miaka mitatu ijayo kina-expire..pole.. nlikipata 2014Nilijiandikisha NIDA tangu March,2019. Mwaka Jana 2020 nikapata namba, nikaambiwa kitambulisho Bado. Mwaka huu nimefuatilia sana naambiwa tu subiri kikiwa tayari utapigiwa simu. Mbaya zaidi watumishi wa pale wala lugha mbaya sana. Ukiuliza swali kwa ustaarabu wanakujibu kama ugomvi vile. Eti "kama umeshapata namba umefuata nini hapa?"!
Naomba mwenye kujua alternative procedures nipate kadi maana ninashida na kadi na siyo namba.
Ahsante.
Mkuu pole sana, hata mimi kuna kipindi nilikua operator na nilivokuja kujiandikisha pia nilipata wasiwasi sana kupata namba, ila Mungu mkubwa nna namba nangoja kitambulisho tu.Mi nlikuwa operetor kipnd wanaanza nikajichanganyq kusaidia watu kuweka finger prnt kwa wale ambao vidole vimekataa,ckuwa najuwa madhara yake xo hadi leo cjapatq hata namba...nnaomba kama kuna njia ya kuipata hyo namba hata kwa kupitia kitu kidogo anipe maelekezo
Wenzio mwaka wa 5 huu na hatulalamikiNilijiandikisha NIDA tangu March,2019. Mwaka Jana 2020 nikapata namba, nikaambiwa kitambulisho Bado. Mwaka huu nimefuatilia sana naambiwa tu subiri kikiwa tayari utapigiwa simu. Mbaya zaidi watumishi wa pale wala lugha mbaya sana. Ukiuliza swali kwa ustaarabu wanakujibu kama ugomvi vile. Eti "kama umeshapata namba umefuata nini hapa?"!
Naomba mwenye kujua alternative procedures nipate kadi maana ninashida na kadi na siyo namba.
Ahsante.
Kama ulimsaidia mtu, itabidi kitambulisho kitoke kwanza. Then mchukue huyo mtu uende nae NIDA na hiyo ID yake. Watamtoa kwenye system haraka sana.Mi nlikuwa operetor kipnd wanaanza nikajichanganyq kusaidia watu kuweka finger prnt kwa wale ambao vidole vimekataa,ckuwa najuwa madhara yake xo hadi leo cjapatq hata namba...nnaomba kama kuna njia ya kuipata hyo namba hata kwa kupitia kitu kidogo anipe maelekezo
Tupatie na sisi mawasilianoNamshukuru Mungu mm nimepata mwezi uliopita nilijiandikisha 2019
Kilichonisaidia mm nilikuwa napiga simu NIDA makao makuu toka mwaka huu mwez wa tano nikawa nawasumbua kila wiki napiga nakuwadanganya kuwa nimepata chuo nje so wanataka ID ya taifa
Mwez wa nane mwanzon nikawapigia wakaniambia mbona kimetoka nenda ofisi yako ya mtaa ulipojiandkikishia
Kweli nilipoenda nikakipata kitambulisho changu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
mkuu rahis Sana ingia tovuti ya www.nida.go.tz kuna namba zmewekwa pale za mawasioianoTupatie na sisi mawasiliano