Ni mwaka wa tatu sijapata kitambulisho cha NIDA

Mimi toka 2018 mpaka sasa halafu mtu anasema watu 1.1M hawajachukua vitambulisho wakati ukienda unaambiwa bado kipo kweny process
 
Ah kumbe nida ni ishu mie changu kilitoka ndani ya week mwaka 2018
 
D
Mkuu pole sana, hata mimi kuna kipindi nilikua operator na nilivokuja kujiandikisha pia nilipata wasiwasi sana kupata namba, ila Mungu mkubwa nna namba nangoja kitambulisho tu.
daah!mm nlikuwa nmejiandikisha tayari kwa hyo taarifa zilipoingiliana wakaamua kupiga pin
 
NIDA wenyewe wanakupa control number alafu ndo unaenda kulipia crdb bank. Sawa na ukitaka kurekebisha majina au simu ulioandika NIDA utaratibu ni huo.
Mimi kasoro ipo kwenye umri lakini nasubiri wakati wa kurenew 2024 ndio nikarekebishe sijui napo watatoza?
 
D daah!mm nlikuwa nmejiandikisha tayari kwa hyo taarifa zilipoingiliana wakaamua kupiga pin
Pole mkuu nadhani ni opalerators wengi wamepata hiyo shida, kwa maana hiyo hapo sio wewe tu na kuna wengine wengi ambao uliwasaidia nao watakua wamepigwa pin.
 
Legeza wallet mkuu mimi nilikipata ndani ya wiki tatu tu
 
n
Pole mkuu nadhani ni opalerators wengi wamepata hiyo shida, kwa maana hiyo hapo sio wewe tu na kuna wengine wengi ambao uliwasaidia nao watakua wamepigwa pin.
Kwel mkuu,hapa nafanya namna nkipata wa makao huko nmpange hata kwa kidogo aweze nifanyia mpango maana kuna site nafanyia hapa kila cku nawapiga sound
 
Namba zao
 
nenda ofisi za kata yako utakuta tiyari, ukikosa nenda nida uwaeleze hali halisi. Wakuambie tatizo ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…