Ni mwanachama mgeni humu naombeni ushirikiano

Ni mwanachama mgeni humu naombeni ushirikiano

godson Lomayani

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
538
Reaction score
711
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia hoja mbalimbali zinazowasilishwa hapa JF ambazo hazikosi kupatiwa ushauri au majibu ya uhakika kutoka kwa watu mbalimbali wenye elimu ya kutosha kuhusiana na hoja hizo.Binafsi nimefarijika sana na kuamua kujiregister humu.Kiukweli mada za member aitwaye Mshana Jr, ni za kusisimua na kuogofya.Siku za mbeleni nitaleta hoja zangu ambazo naamini hazitakosa majibu kwa sababu JF ni jukwaa la wabobezi wa mambo mbali mbali.Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi sawa
 
Umeingia kabisa na majina yako kamili kamili. Karibu sana mtoto wa Mungu (Godson)
 
Baada ya mwaka utatafta namna ya kubadili avatar name lakini haitawezekana.

Nakushauri usome kanuni na taratibu na jf kabla hujaamua kuendelea ja majina yako kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu taja jinsia yako, wewe ni ke au me, kimodo au chubby, flat screen au msambwanda, CCM au Chadema, simba au yanga, mliberari au muhafidhina?
 
Karibu JF kijana ila kuwa makini tu kwani humu kila mtu kambale(ana ndevu)...... na usisahau matumizi ya neno MKUU mwanzo au mwisho wa sentensi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeamua kuja na ID nyingine ili ujisifu kua mada zako ni za kusisimua na kuogofya? ndio maana umejitaja wewe tu na sio na member wengine!!
 
Back
Top Bottom