Ni mwanachama mgeni humu naombeni ushirikiano

Ni mwanachama mgeni humu naombeni ushirikiano

Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia hoja mbalimbali zinazowasilishwa hapa JF ambazo hazikosi kupatiwa ushauri au majibu ya uhakika kutoka kwa watu mbalimbali wenye elimu ya kutosha kuhusiana na hoja hizo.Binafsi nimefarijika sana na kuamua kujiregister humu.Kiukweli mada za member aitwaye Mshana Jr, ni za kusisimua na kuogofya.Siku za mbeleni nitaleta hoja zangu ambazo naamini hazitakosa majibu kwa sababu JF ni jukwaa la wabobezi wa mambo mbali mbali.Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]karibu sana jukwaa la utambuzi

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom