Ni Mwanamtandao, lakini inadaiwa pia kuwa ni double cross Agent

Ni Mwanamtandao, lakini inadaiwa pia kuwa ni double cross Agent

jindundu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2025
Posts
679
Reaction score
581
Kwa mjibu wa Ndugu Humphrey Polepole wanamtandao ni wengi na wamejipenyeza kila mahali ili kufanikisha malengo yao.

Sasa inadaiwa kuwa katika kundi Hilo yumo mmoja ambaye ni double cross Agent.

Kama ni kweli hili ni jambo zito na na la hatari mno kwa usalama wa Taifa letu na maslahi ya nchi kwa ujumla wake.

Huenda ndio maana ya bandika bandua kwenye nafasi ya DGSI. Yawezekana wengine huamua kuachia ngazi wenyewe baada ya kukutana na mazito kwenye Idara. Kwakuwa ni Siri, tunaambiwa ametengua na kuteua.
 
Haya ni madhara tu yatokanayo na kuchanganya maslahi ya Taifa, binafsi na chama. Bora hata wenzetu wenye ngozi nyeupe. Kwao, maslahi ya nchi ndiyo kila kitu. Sisi wenye ngozi nyeusi huwa ni tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom