Ni Mwanasiasa gani anamiliki magari ya kupeleka wafanyakazi migodini Kanda ya Ziwa?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI.

Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash?

Tenda alipataje? Ni msafi?
 
Bluecoast ni kampuni kubwa imeanza kazi kitambo,analori zaidi ya 100 zinabeba bia za TBL...hiyo kampuni haina mwanasiasa jamaa ni tajiri kitambo
Kuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI.

Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash?

Tenda alipataje? Ni msafi?
 
Kuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI.

Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash?

Tenda alipataje? Ni msafi?
DTB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI.

Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash?

Tenda alipataje? Ni msafi?
Hizi akili mfu kabisa za kutaka Watanzania wote tuwe maskini. Na kama unaendekeza ujinga kama huu unaouandika hapa wewe Resilience basi utaishia kulalamika tu.
 
Umenikumbusha Caspian pale Nzega na sasa nayaona machache pale Buzwagi Kahama.

Mpaka Rostam anafanya ujue kuna hela.
 
Back
Top Bottom