Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI.
Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash?
Tenda alipataje? Ni msafi?
Huyu singa singa.....umenikumbusha kitambo.....113...310Kugis
DTBKuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI.
Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash?
Tenda alipataje? Ni msafi?
Una uhakika na je unamfahamuBluecoast ni kampuni kubwa imeanza kazi kitambo,analori zaidi ya 100 zinabeba bia za TBL...hiyo kampuni haina mwanasiasa jamaa ni tajiri kitambo
Hawa ni Wachawi mkuu
DTB bank [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi akili mfu kabisa za kutaka Watanzania wote tuwe maskini. Na kama unaendekeza ujinga kama huu unaouandika hapa wewe Resilience basi utaishia kulalamika tu.Kuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI.
Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash?
Tenda alipataje? Ni msafi?