Ni Mwanasiasa gani anamiliki magari ya kupeleka wafanyakazi migodini Kanda ya Ziwa?

Kila biashara mtu akianzisha basi lazima ihusishwe na wanasiasa.Bongo tumejaa majungu na uvivu uvivu wa kufikiri...Blue Coast ni Mali ya Mzee Inyasi...na hajaanza Leo biashara hiyo Mzee...ni Mzee anaheshimika Sana Geita hiyo tender kwake ni ndogo Sana ukilinganisha na TBL...
 
Mkuu Resilience , kampuni hiyo inaitwa Blue Cost inamilikiwa na Mzee Inyasi, sio mwanasiasa!. Karibu mitaa hii
View: https://youtu.be/ZIKYkOFJhpA?si=spQaEqxPMHXJkBI3P
 
Siyo kweli Blue Coast ni Mfanyabiashara mkubwa,Ana Estate Nyamongholo ,mlipa Kodi Mzuri,ana mahusiano mazuri sana Wafanyakazi ,watu Baki NK,
Hiyo ramli chonganishi kwamba ni Biashara ya Mkubwa ni unafiki.
Tenda za GGM zinatangazwa kwa uwazi ,yeye siyo wa kwanza kupata KAZI hiyo,
Sisi wenye mapenzi na shughuri zake tunazidi kumuombea apate zaidi ,Watoto wetu wapate KAZI,
 
Ya mtoto wa jiwe kwa 100%
 
Sasa unamsikia anatajwa kisha unatuuliza sie huu ni UNAFIKI, we mtaje leta ishu kamili.
 
Na yuko mbioni kufungua kituo cha mafuta,
Na mkimshirikisha ktk shughuli za kijamii anachangia haswa., Ila pia ana watu weledi ktk administration ktk kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…