Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Muiteni Mlopokaji, Muiteni mwendawazimu, call him Vyovyote unavyoweza kwakua una mdomo, na una bando lako.
Ukweli ni Kua TUNDU LISSU ni Moja ya Wanadamu wanaosoma na Kisha alichokisoma akawa na Uwezo wa kukiweka kwenye matendo, ni Moja ya watanzania wenye Karama za Uongozi, ni Moja ya Watanzania wenye kuijua Haki Kwa Matendo na maneno, ni Moja ya watanzania wenye UELEWA MPANA MNOO.
Huyu TUNDU LISSU, ukimuondolea habari za Uchama, ni MTU Mmoja wa muhimu sana sana ambaye Taifa lilitakiwa Kumtumia badala ya kumtenga, inawezekana ni Kwa sababu ya ndoto zake kutongoza Nchi( Sio mbaya Kila MTU ana ndoto), ila kwa Umuhimu wake ni Hazina, ni kama walivyo Akina MPINA, GWAJIMA, wanapoongea unaona kabisa wanaongea Kwa Uelewa mkubwa.
Wenda wewe ni NCCR, CCM, CDM, TLP, CUF n.k Imani yako ya kufia Chama, HAITAKAA Kamwe kubadili ukweli Huu ya kua TUNDU LISSU alijaaliwa kua na kitu ambacho ni watu wachache sana hubarikiwa nacho, na hiko kitu ni MUNGU mwenyewe huamua kumpa Mwanadamu.
LISSU ananikumbusha LUAGA MPINA, watu wanaosoma sana, ni watu wasotosheka na maarifa, ni watu wanaopenda kua taarifa sahihi tena Kwa kuzifatilia wao wenyewe, ananikumbusha juu ya Haya, LISSU ni MTU ambaye hata aanze kutoa hotuba Asubuhi Hadi Jioni, hatuwezi kuchoka kumsikiliza...
Unaweza ukawa mbishi tu juu yake sababu Binadamu ni mbishi, ila hiyo haitakufanya usahau wakati unasoma, iwe Shule au Chuo, kulikua na MTU Mmoja huyo Kupanga, yaan yeye ni Kipanga tuu na ana Uelewa wake wa kuzaliwa na Karama zake.
Tukubali tu, Watu aina ya LISSU, sio wa kufurahia kuondoshwa, ni watu muhimu sana ikiwa watatumika.
View: https://www.youtube.com/live/_xLLBAj0HqM?si=IbMHc9sZhVf2zrgo