Nimekuruhusu umchukue Mjukuu ๐คBabu eti ,umesikia huko mimi nafaa๐ค
Bora usielewe hivyo hivyo Mjukuu ๐Babu! Nafikiria nini maana ya hii ndoto๐ค
Mimi mbona bado mdogo๐
๐๐๐๐ mwamba kanyosha kama lula
Inawekwa dhamana, sasa mkopo bila dhamana si sawa sawa na msaada tuHahaha,
Mwamba ana majibu balaa, ila ndiyo ukweli.
Ila hata akimkopesha mbele ya mashahidi na ndugu inasaidia nini, atalipaje? Maana anaweza kuhitimu akakuta hakuna kazi, hakuna kipato.
Nooo usije ukaachwa ๐Unataka niachwe?๐
Basi tuliza wenge..!๐Nooo usije ukaachwa ๐
SawaaBasi tuliza wenge..!๐
๐๐๐we jamaa umetisha sana, hutaki kupata kazi ya kuua mtu hahahahah! Ni mwendo wa mkataba mpaka mahakma ya mwanzo ihusike hahahaha!
MWanao wa kiume nadhani utampa hongera sana๐Uchoyo huo ๐
Dah,Inawekwa dhamana, sasa mkopo bila dhamana si sawa sawa na msaada tu